Educational Project

maelezo1

MALENGO NA UTUME

 

Alimbali ambazo ni tunu katika uwanja wa taaluma hususan kutumia maadili mema katika kutatua matatizo ya kijamii pasipo kuwanyonya, kuwanyanyasa na kuwatenga walio wanyonge.

 

Kumlea kijana katika nyanja zote za makuzi yake ili atambue utu, tunu, thamani, na heshima aliyojaliwa mwanadamu.

 

Kuwashirikisha watoto kuchangia mawazo yao kwa njia ya mazoezi ya kutosha ili kujijengea tabia ya udadisi.

 

Bayana, kwa uaminifu, na kwa heshima pasipo kupuuza utu wa mwingine ili waweze kujenga taifa bora la kesho.

Comments are closed.