Dar Es Salaam ST. AUGUSTNE SEC SCHOOL- TAGASTE P. O. BOX 31644 Dar Es Salaam Simu:+255759168003
|
MAHALI ILIPO:
Shule ya sekondari ya Mt. Augustine- Tagaste( St. Augustine Secondary School-Tagaste) ipo katika kata ya Sagala, Tarafa ya Ubungo, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam. Shule hii ipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu iendayo Morogoro upande wa kulia. Njia rahisi kwa kufika shuleni ni kushuka kituo cha mabasi cha Temboni ambacho kipo katikati ya Kimara Suca na Temboni kwa Msuguri, Pia kibanda cha mkaa kituo kilicho kati ya temboni kwa msuguri na mbezi. |
|
|
||
MWANZA ST.ALYPIIJS HOUSEPO BOX 4080 NYEGEZI, MWANZA. SIMU: +255755334389 |
|
|
|
||
|
|