Reporting

Wanafunzi waliwasili hapo tarehe 6 mwezi wa kwanza, wakiwa na hamu kubwa sana ya kuanza masomo ya kwa juhudi kubwa, waliletwa na wazazi ndugu jamaa na marafiki, wote wakiwa na matumaini kwamba mtoto wao ataanza maisha haya mapya akiwa na nguvu na matumaini tele. 20140106_162959
This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.