TANGAZO:NDG WAZAZI/WALEZI.
TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA MUDA WA KULIPA MALIPO YA AWALI YA KUSHIKA NAFASI KWA AJILI YA KIDATO CHA KWANZA 2018 UMEISHA TANGU TAREHE 30 MWEZI WA TISA. HIVYO KWA SASA WANACHUKULIWA WENGINE KUSHIKA NAFASI HIZO. UKILIPA SASA BILA KUFIKA OFISINI HELA YAKO ITAPOTEA NA MTOTO HATOPOKELEWA. KILA JEMA KATIKA UJENZI WA TAIFA. IMETOLEWA NA UONGOZI WA SHULE. |
TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA FORM ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 ST. AUGUSTINE TAGASTE ZINAPATIKANA SHULENI, MAVURUNZA PARISH, TEMBONI, TAGASTE PARISH, MSIMBAZI CENTER DIRISHA NAMBA 9 NA NAMBA 12.
MWANZA: PAROKIA YA MKOLANI,
MOROGORO:NYUMBA YA MT. AUGUSTINO KOLA
ARUSHA: SHULENI ST. MONICA MUSHONO
TAREHE ZA MITIHANI NI MWEZI SEPTEMBER, 19, 21,23
KARIBUNI NYOTE KWA ELIMU NA MALEZI YA WATOTO WETU.
ASANTE SANA.
SAMAHANI KWA USUMBUFU.
|
TANGAZO Ili kuthibitisha kuwa mwanao atajiunga na shule yetu yakupasa mzazi/mlezi ulipe malipo ya awali ya Tshs. 600,000/= kwa ajili ya kutunziwa nafasi yako. Fedha hii itakuwa ni sehemu ya ada. Mwisho wa malipo hayo ni tarehe 29(JUMAPILI) SEPTEMBER. Malipo hayo yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE, AKAUNTI NA. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya malipo ya benki. Isipoletwa shuleni na kukatiwa risiti ya shule, itaeleweka kuwa malipo hayakufanyika na nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine. Malipo hayo ni sehemu ya ada ya shule, endapo mwanao hatafika shuleni fedha hiyo haitarudishwa. Tafadhari FIKA OFISINI UCHUKUE MAELEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS) |
TANGAZO
Kuhusu Ongezeko la Muda kutokana na taarifa kutowafikia wahusika wote.
Ili kuthibitisha kuwa mwanao atafika yakupasa mzazi/mlezi ulipe malipo ya awali ya Tshs. 600,000/= kwa ajili ya kutunziwa nafasi yako. Fedha hii itakuwa ni sehemu ya ada. Mwisho wa malipo hayo ni tarehe 30(IJUMAA) SEPTEMBER.
Malipo hayo yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE, AKAUNTI NA. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya malipo ya benki. Isipoletwa shuleni na kukatiwa risiti ya shule, itaeleweka kuwa malipo hayakufanyika na nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine. Malipo hayo ni sehemu ya ada ya shule, endapo mwanao hatafika shuleni fedha hiyo haitarudishwa.
Tafadhari
FIKA OFISINI UCHUKUE MAELEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS)
UPATIKANAJI WA FOMU:
Fomu za kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2017 zinapatikana sehemu zifuatazo: |
TUNAPENDA KUWA TANGAZIA KWAMBA MITIHANI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HAPA ST. AUGUSTINE SEC SCHOOL,
ITAFANYIKA TAREHE 20, 22 NA 24, YOTE MWEZI HUU WA TISA.
CHUKUA NA USOME
KARIBUNI YOTE.
ON 28 OF FEBRUARYTHERE WAS A Basketball MATCH, FOR GIRLS FORM I AGAINST FORM II, |
ON 21 OF FEBRUARY
THERE WAS A FOOTBALL BOYS MATCH, WAS OBTAINED BY PENALTS CONGRATURATIONS TO FORM TWO FOR THEIR FIRST WIN |