VISITING DAY

Siku  ya tarehe 26 jumapili ya mwisho ya mwezi ilikuwa siku ya kuwatembelea watoto shuleni na kujua hali zao, wazazi walifurahi sana baada ya kuonana na watoto wa kiwa na hali nzuri na matumaini ya kuendelea vema na masomo yao.
This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.