FORM I ARRIVAL(2015)

Kuwasili kwa kidato cha kwanza
Hapo tarehe 4 Januari 2015 wanafunzi
wapya wa kidato cha kwanza waliwasili
hapa shuleni wakisindikizwa na wazazi,
walezi, jamaa na marafiki,
ili kuja kuanza hatua nyingine ya maisha.
Uongozi wa shule uliwakaribisha na kuwaomba
waanze maisha mapya kwa furaha na upendo,
wakijua kwamba maisha yana mengi,
hivyo huzuni za kuachana na wazazi wao
zitazaa matunda hapo baadaye ya kupata Elimu na Malezi bora.
Tuanawatakia wanafunzi wote maisha mema katika Shule yetu.
Image
This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.