Location

Shule ya Sekondari ya Mt. Augustino ipo katika kata ya Saranga, Tarafa ya Ubungo, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar Es Salaam. Shule hii ipo umbali wakutoa elimu na stadi mbalimbaliambazo ni tunu katika uwanja wa taaluma hususani kutumia maadili mema katika kutatua matatizo ya kijamii pasipo kuwanyonya, kuwanyanyasa na kuwatenga walio wanyonge.
kumlea kijana katika Nyanja zote za makuzi yake ili atambue utu, tunu, thamani, na heshima aliyojaliwa mwanadamu.
kuwashirikisha watoto kuchangia mawazo yao kwa njia ya kuwapa mazoezi ya kutosha ili kujijengea tabia ya udadisi.
kuwajenga watoto wawe watetezi wa ukweli kwa kuziweka hoja zao bayana, kwa uaminifu, na kwa heshima pasipo kupuuza utu wa mwingine ili waweze kujenga taifa bora la kesho.
1
This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.