TAGAZO MUHIMU SANA.

TANGAZO:NDG WAZAZI/WALEZI.

TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA MUDA WA KULIPA MALIPO YA AWALI YA KUSHIKA NAFASI KWA AJILI YA KIDATO CHA KWANZA 2018 UMEISHA TANGU TAREHE 30 MWEZI WA TISA.

HIVYO KWA SASA WANACHUKULIWA WENGINE KUSHIKA NAFASI HIZO.

UKILIPA SASA BILA KUFIKA OFISINI HELA YAKO ITAPOTEA NA MTOTO HATOPOKELEWA.

KILA JEMA KATIKA UJENZI WA TAIFA.

IMETOLEWA NA UONGOZI WA SHULE.

This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.