TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIA KUJIUNGA FORM I 2020

TANGAZO
Ili kuthibitisha kuwa mwanao atajiunga na shule yetu yakupasa mzazi/mlezi ulipe malipo ya awali ya Tshs. 600,000/= kwa ajili ya kutunziwa nafasi yako. Fedha hii itakuwa ni sehemu ya ada. Mwisho wa malipo hayo ni  tarehe 29(JUMAPILI) SEPTEMBER.
Malipo hayo yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE, AKAUNTI NA. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya malipo ya benki. Isipoletwa shuleni na kukatiwa risiti ya shule, itaeleweka kuwa malipo hayakufanyika na nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine. Malipo hayo ni sehemu ya ada ya shule, endapo mwanao hatafika shuleni fedha hiyo haitarudishwa.
Tafadhari
FIKA OFISINI UCHUKUE MAELEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS)