Kuwasili kwa kidato cha kwanza Hapo tarehe 4 Januari 2015 wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza waliwasili hapa shuleni wakisindikizwa na wazazi, walezi, jamaa na marafiki, ili kuja kuanza hatua nyingine ya maisha. Uongozi wa shule uliwakaribisha na kuwaomba waanze maisha mapya kwa furaha na upendo, wakijua kwamba maisha yana mengi, hivyo huzuni za kuachana na wazazi wao zitazaa matunda hapo baadaye ya kupata Elimu na Malezi bora. Tuanawatakia wanafunzi wote maisha mema katika Shule yetu. |
Image |
FORM I ARRIVAL(2015)
HEALTH
The Department of St. Augustine Secondary School consists of one Matron who is a Nurse too and one Nurse. They are he one concerned with the health care of all students at the School. Their main works are First attention to the problems that may arise |
SIFA ZA PEKEE ZA SHULE
SIFA ZA PEKEE ZA SHULE
SHULE NI YA BWENI |
Image |
VIGEZO VYA UCHAGUZI WA WANAFUNZI
SHULE YA SEKONDARI YA MT. AGUSTINO – TAGASTE
VIGEZO VILIVYOTUMIKA KATIKA UTEUZI WA WANAFUNZI WATAKAO JIUNGA NA SHULE YA
SEKONDARI YA MTAKATIFU AGUSTINO- TAGASTE:
1. MTAHINIWA AWE AMEFIKISHA WASTANI WA 51
2. MTAHINIWA AWE AMEPATA ALAMA YA 51 KATIKA SOMO LA HISABATI
3. MTIHINIWA ASIPATE MASOMO MAWILI (2) CHINI YA 51
4. MTAHINIWA ASIPATE SOMO “LOLOTE” CHINI YA 41(F)
NB: KWA KUZINGATIA VIGEZO VILIVYOTAJWA HAPO JUU HAKUNA WANAFUNZI YEYOTE ALIYE
MID TERM TEST
MID TERM TEST ON THE 11th OF SEPTEMBER, THE STUDENTS STARTED THERE MID TERM TEST. THEY HAD GOOD PREPARATION FOR IT, AND SO SURELY THEY WILL PERFOME VERY WELL. WISHING THEM ALL THE BEST EN THEIR EXAM. |
STUDY TOUR
ON 15TH OF AUGUST THE WHOLE SCHOOL WENT FOR STUDY TOUR AT MAKUMBUSHO YA TAIFA.
A TRIP WAS ORGANIZED BY THE HISTORY DEPARTMENT.
THE TOUR WENT WELL, THE STUDENTS HAD OPPORTUNITY TO LEARN
PRACTICALLY ABOUT SOME TOPIC THEY HAD LEARNED AT SCHOOL.
LIKE THE HISTORY OF HUMAN BEING,
HISTORICAL SITES OF TANZANIA.
EVOLUTION OF HUMAN BEING AND ALL MATTERS ABOUT HISTORY.
SAINT AUGUSTINE’S DAY
ST. AUGUSTINE’S DAY
ON THE 28 OF AUGUST, THE SCHOOL CELEBRATED THE CELEBRATED THE VERY FIRST DAY OF THE PATRON.
THE CELEBRATION STARTED BY MASS, HELD IN A SCHOOL MULTIFUNCTION HALL, FOLLOWED BY ENTERTAINMENT PREPARED BY STUDENTS, THEN TWO TALKS, ONE ABOUT THE HISTORY OF ST. AUGUSTINE, WHICH WAS DERIVED BY FR. URICK KINYERO, THEN THE HISTORY OF THE ORDER OF SAINT AUGUSTINE, BY FR. STEPHANO MUSOMBA. AFTER THAT FOLLOWED SOME QUESTIONS, AND ANSWER THEN THE STUDENTS PRESENTED THEIR TALENTS BY DIFFERENT SHOWS.
THANKS FOR ALL WHO PARTICIPATED IN THIS VERY FIRST DAY OUR PATRON MAY ALMIGHTY GOD BLESS YOU ALL.
OPENING OF THE SCHOOL
SCHOOL WILL BE OPENED ON 6TH OF JULLY
SO ALL STUDENTS ARE SUPPOSED TO BE THERE
WELCOME BACK TO SCHOOL
THANKS.
MONTHLY TEST
Wanafunzi walitambulishwa rasmi kwamba wapo shuleni, read more |
VISITING DAY
Siku ya tarehe 26 jumapili ya mwisho ya mwezi ilikuwa siku ya kuwatembelea watoto shuleni na kujua hali zao, read more |