MONTHLY TEST

Wanafunzi walitambulishwa rasmi kwamba wapo shuleni, baada ya kufanya test zao za kwanza za kila mwezi,wengi wao haikuwa na shida kwani wameizoea lugha inayotumika, lakini kwa baadhi lugha iliwasumbua kwa kuwa test zao za kwanza kwa lugha ya kingereza.

Tunawakia kila jema katika test zao hizo tukitumaini kuwa zitakuwa kama mafuta ya kuongeza juhudi katika masomo yao.

This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.