NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2017

UPATIKANAJI WA FOMU:

Fomu za kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2017 zinapatikana sehemu zifuatazo:

  • DAR ES SALAAM: PAROKIA YA MAVURUNZA, TEMBONI, TAGASTE,
    • SHULENI ST. AUGUSTINE TAGASTE SEC SCHOOL,
    • MSIMBAZI CENTER DIRISHA NAMBA 12- NOMO SHOP NA DIRISHA NAMBA 09)
  • ARUSHA: ST. MONICA MOSHONO GIRLS SECONDARY SCHOOL
  • MWANZA: PAROKIA YA MKOLANI
  • MOROGORO: ST. AUGUSTINE HOUSE MLIMA KOLAKIPEPERUSHI  P1
This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.