TANGAZO KWA WALIOTEULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2017

TANGAZO
Kuhusu Ongezeko la Muda kutokana na taarifa kutowafikia wahusika wote.
Ili kuthibitisha kuwa mwanao atafika yakupasa mzazi/mlezi ulipe malipo ya awali ya Tshs. 600,000/= kwa ajili ya kutunziwa nafasi yako. Fedha hii itakuwa ni sehemu ya ada. Mwisho wa malipo hayo ni tarehe 30(IJUMAA) SEPTEMBER.
Malipo hayo yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE, AKAUNTI NA. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya malipo ya benki. Isipoletwa shuleni na kukatiwa risiti ya shule, itaeleweka kuwa malipo hayakufanyika na nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine. Malipo hayo ni sehemu ya ada ya shule, endapo mwanao hatafika shuleni fedha hiyo haitarudishwa.
Tafadhari
FIKA OFISINI UCHUKUE MAELEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS)

This entry was posted in News. Bookmark the permalink.

Comments are closed.