| TANGAZO:NDG WAZAZI/WALEZI.
TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA MUDA WA KULIPA MALIPO YA AWALI YA KUSHIKA NAFASI KWA AJILI YA KIDATO CHA KWANZA 2018 UMEISHA TANGU TAREHE 30 MWEZI WA TISA. HIVYO KWA SASA WANACHUKULIWA WENGINE KUSHIKA NAFASI HIZO. UKILIPA SASA BILA KUFIKA OFISINI HELA YAKO ITAPOTEA NA MTOTO HATOPOKELEWA. KILA JEMA KATIKA UJENZI WA TAIFA. IMETOLEWA NA UONGOZI WA SHULE. |
TAGAZO MUHIMU SANA.
FORM ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2026
TUNAPENDA KUWATAARIFU KUWA FORM ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2025 ST. AUGUSTINE TAGASTE ZINAPATIKANA SHULENI, MAVURUNZA PARISH, TEMBONI, TAGASTE PARISH, MSIMBAZI CENTER DIRISHA NAMBA 2, 4, 9, 12, 22, 41, 44
MWANZA: PAROKIA YA MKOLANI,
MOROGORO:NYUMBA YA MT. AUGUSTINO KOLA
ARUSHA: SHULENI ST. MONICA MUSHONO
DODOMA: IGNATIUS PRE AND PRIMARY SCHOOL SWASWA
TAREHE ZA MITIHANI NI MWEZI SEPTEMBER, 16, 18,20
KARIBUNI NYOTE KWA ELIMU NA MALEZI YA WATOTO WETU.
ASANTE SANA.
MABADILIKO YA KUFUNGUA SHULE MID-TERM
SAMAHANI KWA USUMBUFU.
|
TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIA KUJIUNGA FORM I 2026
| TANGAZO KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2026
Ili kuthibitisha kuwa mwanao atafika yakupasa MZAZI/MLEZI ulipe malipo ya awali ya Tshs. 600,000/= kwa ajili ya nafasi hiyo. Lipa malipo hayo kabla ya tarehe 24 SEPTEMBA, 2025. Fedha hii itakuwa ni sehemu ya ada. Malipo hayo yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE, AKAUNTI Na. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya malipo ya benki. Isipoletwa shuleni na kukatiwa risiti ya shule, itaeleweka kuwa malipo hayakufanyika na nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine. MUHIMU: Endapo mwanao hatafika shuleni, fedha hiyo haitarudishwa. Pia ukilipa baada ya tarehe 24 September Mtoto hatopokelewa na pesa haitarudishwa. Usipoilipia nafasi hii itachukuliwa na mtu mwingine na kuanzia tarehe 25 SEPTEMBER, 2025 hutakuwa na haki na nafasi hiyo. UNAPOLETA RISITI KUMBUKA KUFIKA NA MTOTO KWA AJILI YA VIPIMO VYA SALE YA SHULE NA KUCHUKUA JOINING INTRUCTIONS. Tunawatakia maandalizi mema na Karibuni sana St. Augustine Tagaste Secondary School FIKA OFISINI UCHUKUE MAELEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTIONS) |
BASKETBALL MATCH
| ON 28 OF FEBRUARYTHERE WAS A Basketball MATCH, FOR GIRLS FORM I AGAINST FORM II, |
FOOTBALL MATCH
| ON 21 OF FEBRUARY
THERE WAS A FOOTBALL BOYS MATCH, WAS OBTAINED BY PENALTS CONGRATURATIONS TO FORM TWO FOR THEIR FIRST WIN |
WELCOME BACK FORM II
| END OF VACATIONS HAPO TAREHE 18 TUNATARAJIA KUWAPOKEA KWA FURAHA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WANAO MALIZA LIKIZO YAO TUNA WAKARIBISHA KWA FURAHA, TUKITUMAINI MMETUMIA VEMA LIKIZO YENU, KATIKA KUJIFUNZA, KUWA SAIDIA WAZAZI NA KUPUMZIKA. KARIBU SANA TUPATE ELIMU. CHUKUA NA USOME. |
FORM I ARRIVAL(2015)
| Kuwasili kwa kidato cha kwanza Hapo tarehe 4 Januari 2015 wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza waliwasili hapa shuleni wakisindikizwa na wazazi, walezi, jamaa na marafiki, ili kuja kuanza hatua nyingine ya maisha. Uongozi wa shule uliwakaribisha na kuwaomba waanze maisha mapya kwa furaha na upendo, wakijua kwamba maisha yana mengi, hivyo huzuni za kuachana na wazazi wao zitazaa matunda hapo baadaye ya kupata Elimu na Malezi bora. Tuanawatakia wanafunzi wote maisha mema katika Shule yetu. |
Image |
HEALTH
| The Department of St. Augustine Secondary School consists of one Matron who is a Nurse too and one Nurse. They are he one concerned with the health care of all students at the School. Their main works are First attention to the problems that may arise |
SIFA ZA PEKEE ZA SHULE
| SIFA ZA PEKEE ZA SHULE
SHULE NI YA BWENI |
Image |